Skip to content

Commit 3668792

Browse files
committed
Ongeza maelekezo namna ya kuchangia kwenye nyaraka
1 parent d09f290 commit 3668792

File tree

1 file changed

+18
-0
lines changed

1 file changed

+18
-0
lines changed

README.md

+18
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -35,3 +35,21 @@ Ikishamaliza kusanikisha, tumia maelekezo yafuatayo kuanzisha hazina hii iliuwez
3535
```bash
3636
npm run docs:dev
3737
```
38+
39+
## Kuchangia
40+
41+
Ili kuchangia katika hizi nyaraka, tengeneza tengeneza tawi (fork) katika akaunti yako na fuata maelekezo ya kupakua hapo juu.
42+
43+
Ongeza mabadiliko yako, thibitisha (commit) na itume (push) kwenye [GitHub](https://github.com).
44+
45+
```bash
46+
git add -am "Tafsiri Nyaraka kwa kibena"
47+
```
48+
49+
```bash
50+
git push -u origin <TAWI LAKO>
51+
```
52+
53+
Fungua Ombi la Kukubaliwa (Pull Request) kwenda kwenye nyaraka rasmi za [Nuru](https://github.com/NuruProgramming/nyaraka)
54+
55+
Unaweza pia kuchangia kwa kuongeza, kuboresha au kusahihisha matatizo katika sehemu ya matatizo [(issues)](https://github.com/NuruProgramming/nyaraka/issues).

0 commit comments

Comments
 (0)